Swali zuri japo ungeelewa nilipokuambia tuanze na swali la Mungu ni nini kwanza, usingepata huo utata.
Kabla sijajibu hili swali lako jipya, nikuulize kama umeelewa habari za Upendo /Ubaya, ujuzi/uwezo wa yote.
Semea hilo kwanza ili tuendelee na darasa la kwa namna gani Asili ni Conscious. Una swali juu ya kutokea kwa mabaya?