Nnauza Nguruwe wadogo Kwa wingi kuanzia watano au zaidi. Hasa kwa wale wanao taka kufuga Wapo kati ya miezi 4,5 na 6. Bei tunaelewana. Napatikana Hombolo Dodoma. Tuwasiliane 0789656265

Sawa mdau.. Toka nitoe hili tangazo wamechukuliwa kwelikweli.. Kwasasa wamebaki nguruwe 7 tu, majike mawili unaweza pandisha kuanzia mwezi 12/january jike moja lina mimba linazaa siku yeyote ndan ya mwezi huu wa kumi, madume mawili yamehasiwa unanepesha mwezi 12/1 utaweza kuyauza.na madume mawili mengine ni mbegu utaweza kuyatumia kuanzia april. Hii itakuwa faida kubwa hasa kama unaongeza au ndo unaanza kufuga. Hao wote jumla bei yake ni 950000. Bei inaongeleka unaweza kufika saiti Hombolo karibu na sekondari. Karibu sana!