Nadhani hizi ni kwaajili ya wana dsm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ha ha ha wanaoshona hawaoni ama kiwandani panya wengi
Hizi hapa chini pia ni za tajiri.kama huwezi kuafford nguo kwenye duka kama hili, duka lina AC, tiles, mataa mengiii , nguo zina tags, kama huwezi kasagure KarumeView attachment 367676
matajiri wasio na swagga
n what the heck are those on the right!!!