K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 May 30, 2013 #21 Destin said: Siku zote pale binadamu anapokosa ujasiri wa kupokea hoja za wengine na kubakia kubeza na kujiaminisha tayari ni udhaifu mkubwa,na kwa maana nyingine ni "WOGA"........Ukweli huuma lakini mtu jasiri huupokea na kuufanyia kazi. Naunga mkono hoja. Click to expand... Tatizo letu ni unafiki. Sasa mtu unampa ushauri hapo hapo unamwambia NGUMU KUMEZA ndo nn sasa?
Destin said: Siku zote pale binadamu anapokosa ujasiri wa kupokea hoja za wengine na kubakia kubeza na kujiaminisha tayari ni udhaifu mkubwa,na kwa maana nyingine ni "WOGA"........Ukweli huuma lakini mtu jasiri huupokea na kuufanyia kazi. Naunga mkono hoja. Click to expand... Tatizo letu ni unafiki. Sasa mtu unampa ushauri hapo hapo unamwambia NGUMU KUMEZA ndo nn sasa?
Isaac JK JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 563 Reaction score 92 May 30, 2013 Thread starter #22 kigoda said: Tatizo letu ni unafiki. Sasa mtu unampa ushauri hapo hapo unamwambia NGUMU KUMEZA ndo nn sasa? Click to expand... kumbe naweni sehemu ya ngumu kumeza
kigoda said: Tatizo letu ni unafiki. Sasa mtu unampa ushauri hapo hapo unamwambia NGUMU KUMEZA ndo nn sasa? Click to expand... kumbe naweni sehemu ya ngumu kumeza