Jamaa anyetupa konde :boxing: namfananisha na Lisu pindi anapokuwaga anmtupia makonde (hoja nzito na zenye mashiko) kwa magamba na kiranja mkuu wao pamoja na andunje ndugga.....ahahaaa hakika hata mapambano ya kuwang'oa magamba ni kama mapambano ya nyuklia 😛ainkiller: huko Taiwan.