kuna rangi ya mtu ya asili, kama wazungu ni weupe waswahili ni weusi, lkn vilevile kuna albinism ni weupe pia. Lakini kuna waswahili weupe, kuna ngozi ya utotoni ambayo mtoto akishafikisha kama wiki na kuendelea huanza kutoka na kubaki ya asili. Haya ni mambo ya genetics and body makeup.....nadhani watu wa biology wanaweza kuifafanua zaidi.