Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,201
- Thread starter
-
- #21
Trust me.we fanya mazoezi ya gym au boxer halafu uone kama hamu ya sex inakujaga.Mwili hukataa vitu km ivyo automaticallyTizi sio substitution ya sex, pia maji hayasahau mkondo kamwe! ila nakupa big up kwa kupima maana inataka moyo!
Hahahah hapana mkuu,Ni mazoezi ya mwili Tu hadi kau HB kaludi.Kusex unaweka kando.. Naona unahamia rasmi kwenye chama la wana a.k.a AIDS free zone-nyetoo
Hahah namb yko ninayo takupigiaKimgodi unakiacha hivi hivi?
Sante Mkuu,na ww ni zamu yako kupima sasaKupima inahitaji moyo hasa kama hujawahi pima kabisa.Hongera mkuu
Hahahah labda uwe wewenasubiri ur next thread about ur sex life with ur new gf. hahahhaha
Nibip tu mie ntakupigiaHahah namb yko ninayo takupigia