Ngoma imeanza bungeni

Boca1

Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
92
Reaction score
2
Namuona Mh SPEAKER AMEANZA KWA KUMTAMBULISHA SPEAKER WA A.MASHARIKI. Mambo yanaendelea
 
Mh. Zitto anaomba muongozo wa upigaji kula kuhusu upigaji kula ya kutafta commission ya Bunge. wanatakiwa angalau 1 awe ni mwanamke. mjadala mzito unaendelea
 
Namuona Mh SPEAKER AMEANZA KWA KUMTAMBULISHA SPEAKER WA A.MASHARIKI. Mambo yanaendelea

The statement is too general and more complex!can you please elaborate more!!
 
Mh Diana Kilolo anaanza kujinadi mbele ya waheshimia kutaka aingie kwenye tume hiyo ya E.A
 
Amefuata Mh. Dr. Maua Daftari. Mh. Diana hajaulizwa swali hata moja
 
Namuona Mh SPEAKER AMEANZA KWA KUMTAMBULISHA SPEAKER WA A.MASHARIKI. Mambo yanaendelea
sipendi habari vimini... kama unasema basi sema siyo unabip habari
 
Mhe beatrice shelukindo katokota,hawezi sema kwamba posho za wabunge ni ndogo sana! ni maajabu wanafunzi wanaomba waongezewe pesa ya boom kutoka elfu 5 hadi elfu 10,badala waliangalie hilo wao wanafikiria matumbo yao,kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Tupeni kwa kina, mbona mnakatisha katisha na kubeep tu...wengine hatuna access, nyie ndo media yetu..Aksante
 
siwaelewi kabisaaaaaa,hilo bunge mnaloliongelea ni kikao cha saa ngapi?
 
Tanzania nchi yangu! Mama makinda ni moja ya viongozi duni wa kike taifa limewahi kushuhudia.
 
Our country has too many politicians and too few statesmen. While the statesmen are concerned with the next generation, the politicians are terribly concerned with the next elections.
Oya mbona mnatuDIPU kama hamuwezi kutuhabarisha kuleni kona.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…