Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba Mr Ebbo?

Noma sana enzi hizo... Mimi my best ni maneno mbofumbofu.
 
Ulikuwa Wimbo Mzuri. Niliishi naye kisosora huyu mzee.
Lakini nasikia siku zake za mwisho aliteseka sana aisee. Kuna muda huwa nakuwa na hamu ya kusikiliza ngoma za zamani ambazo sijazisikiliza mdua nikija zisikiliza production inanikata stimu wka sababu ya low quality now ndipo na notice hasa zile ngoma ambazo zilikuwa zimeundwa nje ya studio ya mj, bongo records, bonilove mikamwamba, nyingi zinakuwa na production mbaya.
Mr ebbo nakumbuka kila weekend nakaa kusikiliza radha kumi za bongo.
 
Mishangazi ya Tanga ilimuua huyu jamaa..alikua na studio yake mitaa ya Kisosora,alivyopata fame kidogo akaanza kuwala kwa fujo! Na Ukimwi wa kipindi kile ulikua verified..btw apumzike kwa amani!
Ulikuwa verified indeed
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…