EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
SAIVI USHASUKUMIWA NJE??"SEND OFF" ๐1. You sang to me- inanikumbusha boyfriend wangu wakati nipo Oโlevel ye alikua mtangazaji redio fulani basi ilikua ni lazima aupige kabla kipind hakijaisha ๐
2. Love portion- unanikumbusha my Uni crush
3.I know who i am - unakikumbusha rafiki yangu alinambia atataka aje kunitunza siku ya send off yangu, but amefariki (R.I.P) kabla hata sijasendiwa off๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Bado ata sijui nakwama wapi๐๐๐SAIVI USHASUKUMIWA NJE??"SEND OFF" ๐
Unakwamaje watu tupo kibao mtaaniBado ata sijui nakwama wapi๐๐๐
Hahahaa.Bado ata sijui nakwama wapi๐๐๐