Young master,
mkuu naogopa kupata manundu coz kwa babu kuna mizinga ya nyuki ila kurina sitaki kwenda coz nisha tolewaga manundu kwenye shingo baada ya kwenda kurina asali nikiwa nimevaa gunboot &trouser wakati wenzangu wote walikuwa wamevaa bukta. hivyo bac nyuki walipanda bila kuwasikia na kustuka walipo nipying kwenye shingo.
Ila kwenye hili jamvi young teihnerein ni kupata mafanikio.
khahah,khahah,khahah,khahah,khahah,khahah.
Nilishapanga plan za kuuwapa umasikini kupitia pm,
Katika hao ulio wataja mmoja wapo ndo aliye nikaribisha ambaye ni Erickb52 kumbe ana masters ya ku pm so nahic nitapewa P.h.d.