<br />Nchi ya wazungumzaji,watanzania ni waongeaji hodari sana ila ni wa mwisho kwenye kutenda<br />
<br />
mie sioni haja ya thread za hivi tena make tokea ziwepo hazileti hata maana ni sawa na mbwa asiye na meno,kama tunaingia mtaani kesho tuambizane ama kupitia magazeti,ama kupitia Tv,radio,simu n.k ili tufanye actions,huu ni mda wa actions,watanzania tuachane na kulialia,tufanye matendo,come on!