Jamani hebu muacheni huyu jamaa na mawazo yake mbona mnataka kumtoa roho, inawezekana pia imemtokea na anajaribu kulinganisha mawazo yake na wanajamii pia
Jamani hebu muacheni huyu jamaa na mawazo yake mbona mnataka kumtoa roho, inawezekana pia imemtokea na anajaribu kulinganisha mawazo yake na wanajamii pia
Du asitetewe mm naona yeye atujibu maana tumefika mwisho yeye km anaona starehe na maumivu angechagua kipi tunataka jb.
Angeweka ng'e na nyoka vinaendana au kupigwa denda na mwanamme mwenzake bichi na kuvamiwa na kichaa utamtoa yupi? ndo vinaendana
aah mm siifagilii