ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
naona hujui maana ya watumishi wa umma; lile ongezeko la July ni kweli haliwahusu watumishi wote wa umma, hata tangazo lilifanunua. ila ujue kuwa mtumishi wa umma ni mtumishi yeyote anayefanya kazi ktk ofisi/taasisi yoyote ya serikali, iwe wizarani, mkoani, halmashauri, au mashirika ya umma.
By your definition, je, wanajeshi ni watumishi wa umma?
ZeMarcopolo kumbe wala hukunielewa that day; halafu huna haja ya kujibu kwa kupanic kihivyo, kuwa mstaarabu. Nani alikuambia kuwa wanajeshi/askari ni watumishi wa umma?
Wanajeshi nao ni watumishi wa umma tena wana wizara zao ulinzi kwa jwtz, mambo ya ndani magereza, polisi na uokoaji na zimamoto. Watu mbona vilaza hivi jamani!
Jamani haya mambo mnayo ya discuss ya salary scale ni SIRI.Shauri yenu naona jamaa hapo ameamua kuanika mishahara ya watumishi wa umma bila hata uoga.
mtumishi wa umma in english ni civil servant, sasa niambie je askari ni civil servants? kasome vizuri maana ya hayo maneno sio unakashifu tu watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Umejitahidi sana, hivyo ndivyo inavyotakiwa. swali likikushinda unalibadilisha mpaka lifae kujibiwa kwa majibu uliyonayo. Very good. The answer given is true but not correct
Kwa taasisi ninayofanyia kazi mimi PGSS 10 ni Tshs. 892,000/=