Hongera sana Mrisho, ndio umeanza maisha sasa kaka... karibu kwenye upande wa pili wa ujana (kuelekea uzee)..... ha ha haaa... Mola awajaalie yote ya baraka katika ndoa yenu, watoto, upendo nk...
Vijiposho tu vya wiki mbili London kwenye majaribio- ameoa! Akisajiliwa, I doubt kama hataongeza mke wa pili! Hongera kaka, effect ya 'kukipiga' daily utaisikia tu kwenye magoti na mgongo!