Ngasa anadaiwa ni mnazi wa yanga na hiyo ndiyo sababu ya kutimuliwa pale Azam.
Je ataweza kuhimili mikiki ya mashabiki wa msimbazi iwapo watapigwa bao na wana jangwa naye mchezo ukawa umemkataa?

Mpira ni dakika 90 na kama mchezo utakuwa umemkataa siku hiyo obvious hatacheza dakika zote 90, kwa hiyo yeye peke yake hawezi kuwa sababu ya kufungwa endapo timu yake anayoichezea itafungwa.