Samahani tunaomba picha tuone ya kwako yanavyong'aa kwanza, ili tumiminike kwa wingi.
Haha watu hawaishiwi na maneno kama kanga!!!
Kweli atuonyeshe mafanikio ya meno yake au mganga hajitibu?!
Nipo Mbeya nawapataje?
Mko wapi?
Usalama wa bidhaa zenu upo wipi? Je mna hati ya ubora toka TBS? mna kibali cha TFDA? Ahsante
Unadhani kiongozi! Isijekuwa yale mambo ya jamaa anauza sabuni za chunusi, ilihali yeye mwenyewe zipo kibao usoni.
Temeke, Dar es salaam
Karibu kwa wataalam na washauri.
Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii.
Gharama yake ni Shillingi elfu 12 tu.
Karibu sana S&E BEAUTY SOLUTIONS.
Mawasiliano : 0659528724, 0784082847
Temeke, Dar es salaam
Karibu kwa wataalam na washauri.
Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii.
Gharama yake ni Shillingi elfu 12 tu.
Karibu sana S&E BEAUTY SOLUTIONS.
Mawasiliano : 0659528724, 0784082847