Pole kijana hayo matusi ni mazito ila sina uwezo wa kukutua.
Nakushaur ufikirie athar ya kitu kabla hujakifanya, watu wanaumia kwa sababu ya kucheleweshwa mkopo kwa kichwa cha habar yako ulionyesha ww unataarifa ya kutolewa kwa mkopo kumbe sio. Kama unataka kujua kitu andika sentesi mwisho weka alama hii ?.
Hayatakukuta haya majanga tena