PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
we are waiting for it....maana sijui ilikuwa inakuwaje kuwaje...........
MMU Exclusive inarudi tena! Soon! Im working on it! We wont dissapoint you!
we are waiting for it....maana sijui ilikuwa inakuwaje kuwaje...........
Yap bora muirudishe aisee maana siku nyingi mno..MMU Exclusive inarudi tena! Soon! Im working on it! We wont dissapoint you!
Yap bora muirudishe aisee maana siku nyingi mno..
Napendekeza kwa upande wa ladies ahojiwe gfsonwin kutokana na heshima yake hapa jamvini maana ile ya kwanza wengi hatukua hewani late hours mno, kama itashindikana ahojiwe Heaven on earth kutokana na heshima yake jamvini pia...
Kwa upande wa mijibaba napendekeza ahojiwe watu8, kwani ni mtu mwenye heshima yake pia hapa jamvini
we are waiting for it....maana sijui ilikuwa inakuwaje kuwaje...........
Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.
Aminia kubwa la maadui........ile kitu ilikuwa na utamu wake.....MMU Exclusive inarudi tena! Soon! Im working on it! We wont dissapoint you!
Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.
watu8 umejuaje kuwa nilikuwa natambaa..........mie mkubwa mwenzio ujue..........
Ha ha ha mkuu lakini hawa watu wana heshima sana hapa jamvini mkuu...Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.