duu asee,bonge moja la wimbo,wote wamekaza aisee,ila najiuliza hv huyu diamond hivi vimaneno anavyowekaga kwenye nyimbo zake huwa anavitoa wapi,yani hata akishirikishwa huwa anatupiamo mistari mitamu.sometimes najiuliza mistari mizuri anaweka had kwenye collabo kwenye nyimbo zake ataimba nini? lakini kila siku anavyo vipya yani hadi kwenye matangazo.huyu mtu kanishinda.