daaah nashukuruni saana wandugu nimefanikiwa na inapiga mzigo kama kawaida ni baada ya kutumia wifi na kisha kuiweka tenaa upyaaa,daaah nikajua hapa sasa hii version haisapot simu yangu,,,,,,lakini kwanini old version haifanyi kazi au ndo kukamilika kwa mkataba wa whatsapp na mmiliki wake mpyaa?