nakumbuka siku kadhaa zilizopita the same member alituma thread juu ya kazi tajwa na akaweka msisitizo kuwa ladies watapewa kipaumbele,na tulimwomba aweke information za kutosha kuhusu kampuni na wapi inapatikana bt alijibu kifupi kuwa inaitwa sunshine group,nadhani anakosa ushirikiano coz no details za kampuni. kwny google sunshine group ni makampuni mengi mno yapo china yalianza 1986 so tz hakuna info zozote zinazohusu sunshine na inadeal na nini tungependa kujua inakuwa rahisi kumwarifu mtu aweze kuaply.vinginevyo ni ngumu.