nimepita kwenda oral ila
nimeamua kurudi kwetu tabora. sina ndugu naishi gest leo siku ya kumi na
sijui hiyo oral ni lini, basi tena sina uwezo wa kuendelea kukaa
mjini
Jamani angalieni kiambata hapo ndo waliyotoa jana, sijui kama ndo ya mwisho au kuna fani ambayo haijatoka bado maana website yao haifunguki mpaka mudas huu.