New TPDC Updates

ata matokeo wakitoa leo, kwa style hii ya kutosema lini oral ni kazi bure. kuna watu wanakaa mjini kwa kuunga unga sana, hapa ndio kilio changu kilipo.
kweli mkuu kuna watu watashindwa kurudi kwao mtu amekuja dar tarehe 4 till today hajafanya oral this is so unfair
 
jamaa washamwaga unga kule ktk tovuti yao!
 
Wameweka ya tarehe 09?? Nimeona ya tarehe 08.
 
Jamani mbona sijaona ya marketing ofdicer II tuloganya tar 9.????
 
TPDC wameongeza results za watu waliofanya interview plse click here...http://www.tpdc-tz.com/combined.pdf

Successful record management assistant, Legal officers, security officers...plse check nw


Mkuu, bravo kwa taarifa. Ila tarehe sahihi ya Usaili kwa Legal Officer II ilikuwa ni siku ya Jumatatu (Karume Day), tarehe 07/04/2014, tofauti na ilivyowekwa katika taarifa ya tpdc.

Hongera waliofanikiwa kupata nafasi ya kwenda kwa oral interview, Mungu awe nanyi wakati wote...Amen.
 

procurement waliofanya tarehe 10/4 vp mbona sioni matokeo yao jaman..?
 
procurement waliofanya tarehe 10/4 vp mbona sioni matokeo yao jaman..?

Good morning samaika.

Matokeo ya tarehe 09 & 10 April bado hayajawekwa. Ebu tuone kama leo mtawekewa.

Cool sana sergeant.
 
Last edited by a moderator:
wale waliofanya written interview ya Legal officers, na zingine tayari zimetoka

LEGAL OFFICER II, WRITTEN INTERVIEW RESULTS

S/N EXAMINATION NUMBER SCORE
1 1120 73
2 3950 64.5
3 1117 60
4 2195 58
5 2726 55
6 3811 51
7 1672 51
8 3980 51
9 3972 50.5
10 2438 46
11 1193 46
12 1184 45.5
13 3893 45
14 2447 44
15 2379
 
Boss vipi upo au haikua bahati yako?


Mkuu, Secret Service, Mwenyezi Mungu ninayemwabudu mimi ananipenda na kunidhihirishia wema wake kila siku, kama anavyowapenda na kudhihirishia wema wake kwa wengine, kwahiyo, uniombee nifanikiwe kwenye hatua ya mwisho ili nipate nafasi ya kulitumikia shirika na nchi yangu.

Ubarikiwe kwa kuuliza
 

Maneno yako ni ya busara na ya tumain yaliyojawa na ushindi sana. Tusio na marefaree tumtegemee Mungu tu.

Tuko pamoja kiongozi.
 
nimepita kwenda oral ila nimeamua kurudi kwetu tabora. sina ndugu naishi gest leo siku ya kumi na sijui hiyo oral ni lini, basi tena sina uwezo wa kuendelea kukaa mjini
 
nimepita kwenda oral ila nimeamua kurudi kwetu tabora. sina ndugu naishi gest leo siku ya kumi na sijui hiyo oral ni lini, basi tena sina uwezo wa kuendelea kukaa mjini

Pole mkuu....wengine baada tu ya interview tuliamua kurudi mkoa so rudi ukatute nauli ya kurudi dar kwa ajili ya oral interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…