Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
ya saa ngapi hii boss? kuna moja wali update jioni hadi watu waliofanya paper tar 07 kurud nyuma. tar 08 & 09 ilikua bado.
wadau vipi hawa TPDC oral interview inafanyika lini mbona kimya. Tujulishane
TPDC wameongeza results za watu waliofanya interview plse click here...http://www.tpdc-tz.com/combine.pdf
wengine chekini web ya COET UDSM sijui kwanini TPDC wameweka kule.
kwel kabisa mkuu nimeyaona.......contradictions!!!!!
wengine chekini web ya COET UDSM sijui kwanini TPDC wameweka kule.
jaman mbona kama watu wamepangwa ndan ya cku moja matokeo tayari
Jaman TPDC walichokifanya wame-outsource watu kwa ajili ya interview....eg.. accountant walitumia NBAA, procurement & stores officer-PSPTB, engineering-COET so tuwe tunajaribu kupitia website zao pia kama hujayapata matokeo yako.....ila naamin watu waliofanya trh 8/9 matokeo yatatoka leo...