matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,495 Mar 29, 2022 #21 Iran inaogopwa na mossad. Russia iliwahi kuisaidia Syria kidogo tu mossad walikuwa wanaokotwa Damascus kama kuku kwenye mdondo. Ngoja wawaboost Hezbollah tena. Ile vita na Hezbollah IDF niliwaona wepesi ssna
Iran inaogopwa na mossad. Russia iliwahi kuisaidia Syria kidogo tu mossad walikuwa wanaokotwa Damascus kama kuku kwenye mdondo. Ngoja wawaboost Hezbollah tena. Ile vita na Hezbollah IDF niliwaona wepesi ssna
Ustadh tongwe JF-Expert Member Joined Nov 22, 2020 Posts 744 Reaction score 1,961 Mar 29, 2022 #22 Yohana469 said: Kiev mnafika lin Click to expand... Walitangaza lini kuwa wanataka kuteka nchi yote maana nilichosikia nikiliondolea uwezo jeshi lake asifanye mashambulizi donbass
Yohana469 said: Kiev mnafika lin Click to expand... Walitangaza lini kuwa wanataka kuteka nchi yote maana nilichosikia nikiliondolea uwezo jeshi lake asifanye mashambulizi donbass