Sawa.Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje
...
Kwa miezi ya hivi karibuni (sept,oct,nov,dec 2024) nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama addiction I must open JF kila siku
...
Mwanzo sikujiunga ila leo nimejiunga niwe member rasmi, navutiwa na baadhi ya members kama:
• Robert Heriel mtibeli
• Mshana Jr
• Raa Ree
• Patrickk
• Evalyne Salt
• Na wengineo wengi
JF ni kisima cha maarifa mitandao mingine inabidi ifutwe haha(joking...)
Natumaini kupata karibu zenu asanteni sana
Unataka kusemaje kwani? 😂umejifunza kwa haraka
angekua mlevi sidhani kama angeweza kuboldUnataka kusemaje kwani? 😂
Mlevi tena?angekua mlevi sidhani kama angeweza kubold
hata mpangilio wake wa kazi ni kama kuna mahali kajikosesha makusudi,mwengine angeweka post kwenye habari mchanganyiko nafikiri ni mkongwe lahasha kajifunza kwa harakaMlevi tena?
Unamaanisha amepiga U-turn sio?umejifunza kwa haraka
Nimejikaribisha upya 😹Watakuja kusema wewe ni bro Evelyn Salt
wengi sana walikua na id za vituko wameamua kuja kivingine baada ya kugundua jf ni jukwa linaloweza kuwatoa walipo kwa kuwaongezea kituUnamaanisha amepiga U-turn sio?
Mi sibadili id labda siku nikiwa rais wa hii nchiwengi sana walikua na id za vituko wameamua kuja kivingine baada ya kugundua jf ni jukwa linaloweza kuwatoa walipo kwa kuwaongezea kitu