New member in Jamii Forums please I need you cooperation

UHURU KABANGA

Member
Jan 1, 2021
5
15
Ulevi wa pombe sigara bangi na kilevi chaaina yoyote pia umalaya kuwa nawanawake wengi wew kama kijana pia ujinga nichanzo cha umasikini maisha nilazima upambane tunza kidogo ulichonacho kiwekeze kitakuletea faida baadae vijana wa siku hiz niwazembe kufikili na kuchangamkia fursa vijana tunaangamia kwakukosa maalifa
 
Mkuu mbona macho yako kama yanatufokea Sasa..

Anyway karibuu sana...
 

Wewe ni mkongoman???
 

Shukrani sana mkuu kwa ujumbe mzuri.

VIJANA WANAFIA MABATANI KAMA NZI KWENYE GLASS YA BIA.
 
Karibu mkuu, ila jitahidi kuandika vizuri dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…