nauliza 2nd batch watatoa lini UDOM? swali la pili nataka kujua cozi ya bachelor of education in adult education and community development iko poa and vp ina mkopo pia inamuandaa mwanafunz kuwa nan?
Me nimepangwa natural science,,nataka kujua kama inawezekana kuhama coz kwa sababu nimechaguliwa in bachelor of science in physics nataka kuhamia Bsc in chemistry,,je inawezekana na utaratibu ukoje???
Kaka wa physics inawezekana kubadili cha msingi uwe umepass vizur chemistry..mm nipo mwaka wa pili napiga bsc chemistry hapo..karibu sana kwenye uwanja wa chemicals
Course nyingi za education zina mkopo swala la ajira sifahamu vizur...ila naweza kusema kama kitu kimewekwa ujue ajira zake zipo ila tu nikufuatilia kwa undani maeneo gani ipo applicable lakini pia ujue kwa Tanzania ya leo hata kama ajira zipo ni za kupeana kindugu so ukitaka kuwini ni kujiajiri mwenyewe kwanza, hiyo ndo plan A, then plan B ni kuajiriwa