Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #101 DR HAYA LAND said: Je wewe Una bealife au Una faith ? Tufanye philosophy kidogo leo Click to expand... Not only faith but I have strong FAITH.
DR HAYA LAND said: Je wewe Una bealife au Una faith ? Tufanye philosophy kidogo leo Click to expand... Not only faith but I have strong FAITH.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,287 Reaction score 130,484 May 25, 2024 #102 DR HAYA LAND said: Mtu anasema ameokoka unamwelewaje ? Ili uokoke simpaka ufe like Jesus!! Click to expand... Labda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa.
DR HAYA LAND said: Mtu anasema ameokoka unamwelewaje ? Ili uokoke simpaka ufe like Jesus!! Click to expand... Labda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,898 Reaction score 145,969 May 25, 2024 #103 Bob Maxwell said: Nitakataa kwa kutetea imani yangu. Click to expand... Basi hakuna point ya kukuonesha logic kuwa Mungu hayupo. Kwa sababu hata nikikuonesha, utakataa kwa kutetea imani yako. Uko hapa kutetea imani yako, si kujifunza au kufuata logic.
Bob Maxwell said: Nitakataa kwa kutetea imani yangu. Click to expand... Basi hakuna point ya kukuonesha logic kuwa Mungu hayupo. Kwa sababu hata nikikuonesha, utakataa kwa kutetea imani yako. Uko hapa kutetea imani yako, si kujifunza au kufuata logic.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,642 May 25, 2024 #104 Bob Maxwell said: Not only faith but I have strong FAITH. Click to expand... Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD
Bob Maxwell said: Not only faith but I have strong FAITH. Click to expand... Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,642 May 25, 2024 #105 min -me said: Labda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa. Click to expand... Huu ndo ukweli
min -me said: Labda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa. Click to expand... Huu ndo ukweli
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #107 min -me said: Imani yako ina uhakika upi? Click to expand... Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea
min -me said: Imani yako ina uhakika upi? Click to expand... Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,665 Reaction score 7,111 May 25, 2024 #108 Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri, inahitaji akili kubwa kudadavua na kuelewa. Ahsante komredi!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,287 Reaction score 130,484 May 25, 2024 #109 Bob Maxwell said: Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea Click to expand... Je wajua ikisha kua na hakika hata kwa mujibu wa dini yako na kitabu chako hiyo sio imani tena?
Bob Maxwell said: Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea Click to expand... Je wajua ikisha kua na hakika hata kwa mujibu wa dini yako na kitabu chako hiyo sio imani tena?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,287 Reaction score 130,484 May 25, 2024 #110 Bob Maxwell said: Wale wote wanao katili nafsi za wenzao basi kwa Mungu hawana nafasi na kuua ni dhambi. Click to expand... Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.
Bob Maxwell said: Wale wote wanao katili nafsi za wenzao basi kwa Mungu hawana nafasi na kuua ni dhambi. Click to expand... Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #111 DR HAYA LAND said: Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD Click to expand... How can you be attached with God without accepting his rules and limitations? And where can we find God rules except on his own books?
DR HAYA LAND said: Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD Click to expand... How can you be attached with God without accepting his rules and limitations? And where can we find God rules except on his own books?
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #112 Makari hodari said: Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri, inahitaji akili kubwa kudadavua na kuelewa. Ahsante komredi! Click to expand... Ahsante pia komredi
Makari hodari said: Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri, inahitaji akili kubwa kudadavua na kuelewa. Ahsante komredi! Click to expand... Ahsante pia komredi
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #113 min -me said: Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu. Click to expand... Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake
min -me said: Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu. Click to expand... Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,187 Reaction score 20,639 May 25, 2024 #115 Bob Maxwell said: cc: Alister Crowley Click to expand... Mchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawn
Bob Maxwell said: cc: Alister Crowley Click to expand... Mchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawn
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,287 Reaction score 130,484 May 25, 2024 #116 Bob Maxwell said: Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake Click to expand... Mungu angekuwepo ata nisingepaswa kutakwa kuamini yupo.
Bob Maxwell said: Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake Click to expand... Mungu angekuwepo ata nisingepaswa kutakwa kuamini yupo.
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #117 EvilSpirit said: Mchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawn Click to expand... The cult master
EvilSpirit said: Mchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawn Click to expand... The cult master
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,287 Reaction score 130,484 May 25, 2024 #118 Bob Maxwell said: Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea Click to expand... Hayo ni maneno ya kiimani tu na sio uhakika .
Bob Maxwell said: Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea Click to expand... Hayo ni maneno ya kiimani tu na sio uhakika .
nakarosa JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 327 Reaction score 349 May 25, 2024 #119 Only God can judge me.
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 May 25, 2024 Thread starter #120 min -me said: Mungu angekuwepo ata nisingepaswa kutakwa kuamini yupo. Click to expand... Sawa mkuu