Si umeona Mkuu eeh?
Ameshakiuka taratibu za Manunuzi ya Umma!
Tangaza tenda ili wajitokeze watu wenye uwezo tofautitofauti!
Isije ikawa ni wale wa kuingia NAKIETE CHEMISTS!
Si umeona Mkuu eeh?
Ameshakiuka taratibu za Manunuzi ya Umma!
Tangaza tenda ili wajitokeze watu wenye uwezo tofautitofauti!
Isije ikawa ni wale wa kuingia NAKIETE CHEMISTS!
hahaha mungi umenifurahisha kweli! Hajabahatika kupata phd lakini ana masters 3 na degree 7 kwangu naona fresh tu jinadi na wewe.
Taratiiibu ameanza kuwin
Je akiwin kweli then anasepa what should you do?
(Siombei itokee)
Mbona hammpi maujanja ya kulifanya penzi lake liweze kulast? Au at least asiumie?
nothing comes at ease, kabla hujaanza kufurahia angalia ulikosea wapi huko nyuma na ujirekebishe, pia pata time ya kumsoma. Kwa umri nilioishi najua kuwa all lovely men are prayers and they know how to care mwanzo na kutupa. however all the best.
hahaha mungi umenifurahisha kweli! Hajabahatika kupata phd lakini ana masters 3 na degree 7 kwangu naona fresh tu jinadi na wewe.
Mkuu umekiuka utaratibu wa manunuzi ya umma!
Nitumie proposals zako nikutumie quotations za mapenzi tuone kama naweza kuwin hiyo zabuni hahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Duh! Ahsante kwa taarifa.....Nasubiria mahari tu hsps, sitaki longolongo....hehe babu sasa hayo mambo ya chumbani
yani weewe kama mchawi vile
Duh! Ahsante kwa taarifa.....Nasubiria mahari tu hsps, sitaki longolongo....
Siyo hivyo Mkuu, zamani nilikuwa naitwa Dr. Love, na sasa naitwa Profesa Love!
kwahiyo najaribu kama naweza kufanya mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hongera kabakabana for the new found love.
Just promise urself good time in that brand new relatinship; say u r going to enjoy it nomatter what.
Don't look for mistakes/faults as, as sure like sunshine u will find them.
Be true to urself, n keep the relation first for ur sake n then for ur partner.
Mwisho nakutakia kila lenye heri! Enjoy!
Mungu aliye mwema kanipigania...No wonder wazee tunapona watoto wanakufa........babu tena lazima upokee,vipi lakini afya yako kwa sasa?
hapana kwa kweli,na usipende kumpindua mwenzako coz ipo siku na wewe utapinduliwa.
Mungu aliye mwema kanipigania...No wonder wazee tunapona watoto wanakufa........
Huyu Mungu mwacheni aendelee kuitwa Mmungu na aendelee kukaa huko huko aliko manake akitokea tutamuuliza maswali mengi sana.....
KAUSHAURI KABURE MJUKUU WANGU:thank u so so much,am planing to make the best out of it.Hes such a sweet man n honest in deed.I hope we'll make it! May God bless u for such wonderful wishes.