Does that power make us, or break us?
Mi mzima naona unacheza na maneno km kawaida yako
Nini sasa mbona tone ya kurushiwa chochote hii!!!!????
Mwenye helmet please!!!!
^^
Ha ha haa
Wapii! Si unajua maneno faraja,
Maneno yataka rangi,
Yatakwa kupambwa ili yalete thamani ya maisha, tena yavute kama avatar yako hapo mm!
^^
ndio maana mpowengi mnajiuza