Never share your dreams with the loosers

Imebidi niangalie avatar yako kwanza.
Namuona sir Albert Einstein whom i believe is one of the greatest scientists ever lived.
Umemtendea haki,asante kwa maelezo mazuri sana!!!i appreciate sana,sana mchango wako
Tupo pamoja mkuu.
 
diamond ni naseeb Abdul
 
Ulpo sahihi kabisa mkuu. Kuna mtu namfahamu aliondoka akaenda majuu baada ya form 6 .kafika huko akaanza kuuza unga/kufanya dili chafu .kakaa huko over 6 years.karudishwa nw yupo hata kodi analipiwa na ndugu.anadharau kila idea.. fikiria mtu haamini hata hii mitandao
 
Iko shida hapo
 
Uko sahihi, i remember nilishawashirikisha ndugu zangu na close friends some ideas...waliniona kama nimechanganyikiwa, wakaanza kujadili jinsi nitakavyoshindwa....sasa hivi nawashangaa majority wameanza kufanya kitu kilekile nilichokuwa nawaambia

BORA MTU UKAJISHIRIKISHA WEWE NA NAFSI YAKO PEKE YAKO, hata uki fail unajitadhmini wewe mwenyewe


 
Hao ndio Loosers sasa
 
Mkuu soma vizuri, bado hujaelewa mtoa mada
 
Jaribu kufikiria mtu haiamini radio, magazeti wala mitandao ya kijamii karne hii.. anadharau hata watu waliosoma kwamba shule ni makaratasi tu. Akiongea anabwabwaja kama mwehu na kujump kwenye conclusion... jamaa anashida sana
Umeeleweka vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…