LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
hapo sasa tatizo litakuwa benk sio isp mana kama ni ttcl mbona benk nyingine poa tuuuu
bongo dsm huku no problem, nimetoka BARCLAYS BANK kudeposit 1,239,000 network is okey. teh teh
Nadhani ni tatizo specific kwa NBC , sehemu zingine zinazohudumiwa na ttcl zinatoa huduma kila kona ya nchiMkubwa!
Mpk sasa bado nimo ndani ya NBC BANK na tetesi nyingi tunazopata kupitia kwa baadhi ya wateja waliomo humu zinasema hata NMB,CRDB na hata vile vibenki vingine vya wizi navyo vyote hapa A town hawana huduma kisa ni hii hii ya NETWORK.
Mkubwa kama una wadau huko lengwa hebu sema nao tujue zaidi chanzo ni nini!
Ama ndiyo tuseme Saint Ivuga ndiyo kamaliza kwa kusema waliopewa majukumu bado wapo kwenye siku ya wapendanao?
bongo dsm huku no problem, nimetoka BARCLAYS BANK kudeposit 1,239,000 network is okey. teh teh
wajanja hao wanadeposit tu hata kama hamna network,pita ATM uhakikishebongo dsm huku no problem, nimetoka BARCLAYS BANK kudeposit 1,239,000 network is okey. teh teh
mliowapa majukumu wapo kwenye valentine bado
t 1,239,000
hahahhhhaaa wabongo ....... Utawajua tu