DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Me nawakaribisha mjiunge na JATU....[emoji4][emoji4][emoji4]
Ingia Google andika jatu plc,.
Hawa jamaa wa qnet niliwauliza maswali mawili wakaanza kujikanyaga.Mimi nashindwa kuelewa hawa jamaa wanavyopenya kwenye jamii yetu na kufanya utapeli huku tukiwa na vyombo vya dola ambavyo vinaweza kuwaokoa wananchi wake na utapeli huu wa kiwango cha juu,cha ajabu unakuta wana vibali vyote na wamelipia kabisa hizo kampuni zao na baadhi ya viongozi wakubwa wakionekana katika ufunguzi /uzinduzi wa taasisi hizo fake mfano Ukienda ONET wanakuonyesha Mh H. Kingwangala akifanya ufunguzi wa tawi lao hapa Tanzania,yaani hii sijui ni nini,halafu hawataki upige picha ukiwa ofisini kwao,hawataki uwashe simu (wanaogopa videos/recordings),hawataki utoke na documents yoyote ile.
Halafu hizo bidhaa wanazodai unanunua na kupata commission ya 200$per iterm ni kuanzia milioni 4 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wa qnet niliwauliza maswali mawili wakaanza kujikanyaga.
1. Mwanzilishi wa Qnet ni mhindi, na ilianzia india? Kwann serkal ya india imeban Qnet?
2. Kwann makao makuu yapo Honkong china, lakini haioperate china?
( jibu apa lilikuwa ni biashara zozote za kitapeli huwezi zikuta kwenye nchi kuu tatu, USA, UK, na China sababu serikal zipo very tough kruhusu biashara za kihunihuni ili kuprotect wananchi wao. Sisi huku TZ mpaka wametuletea makokoro, bonanza, slot machine yanayofirisi watu kibao na Rais ndye alyeyafungua)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashindwa kuelewa hawa jamaa wanavyopenya kwenye jamii yetu na kufanya utapeli huku tukiwa na vyombo vya dola ambavyo vinaweza kuwaokoa wananchi wake na utapeli huu wa kiwango cha juu,cha ajabu unakuta wana vibali vyote na wamelipia kabisa hizo kampuni zao na baadhi ya viongozi wakubwa wakionekana katika ufunguzi /uzinduzi wa taasisi hizo fake mfano Ukienda ONET wanakuonyesha Mh H. Kingwangala akifanya ufunguzi wa tawi lao hapa Tanzania,yaani hii sijui ni nini,halafu hawataki upige picha ukiwa ofisini kwao,hawataki uwashe simu (wanaogopa videos/recordings),hawataki utoke na documents yoyote ile.
Halafu hizo bidhaa wanazodai unanunua na kupata commission ya 200$per iterm ni kuanzia milioni 4 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpaka mahakimu,wanasheria,madaktari,waandishi ,na hawa ndo watoa shuhuda ila ajabu shuhuda zao 75%wanaongelea kumiliki magari makubwa mawili,matatu,nk na kusomesha na wote wanajinadi kuwa wameacha kazi za kuajiriwa serikalini au mbioni kuacha kwani huku kuna mabilioni,.HahahahahA Good morning billionaire! !!!!!!So smartKiukweli ni utapeli ulio wazi kabisa chaajabu kuna hadi leacturer wangu nimemuona nae amejoin kisha hawa watu ni kama matepeli maana lazima watafute watu waliofanikiwa ili kuleta ushuhuda ili kuwapumbaza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Dada mmoja yeye ni muhasibu anakwabia ameacha kazi tena naye akamshawishi boss wake kuacha kazi...ninachokiona kikubwa ni kwamba ukishaingia na kuwekeza inabidi upambane na ww upate watu wako ili ikulipeKuna mpaka mahakimu,wanasheria,madaktari,waandishi ,na hawa ndo watoa shuhuda ila ajabu shuhuda zao 75%wanaongelea kumiliki magari makubwa mawili,matatu,nk na kusomesha na wote wanajinadi kuwa wameacha kazi za kuajiriwa serikalini au mbioni kuacha kwani huku kuna mabilioni,.HahahahahA Good morning billionaire! !!!!!!So smart
Sent using Jamii Forums mobile app
Namna ya kujiunga ni lazima ununue bidhaa tena kwa bidhaa zenyewe hakuna ya chini ya 1m ni kuanzia 3m kwenda juu, mpk upate hao partners ili upate faida na pesa irudi sio leo na kumbuka ulivoshikwa wewe sivyo utakavyowashika wengine broo, [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]tena kwa speed ya hatariKuna Dada mmoja yeye ni muhasibu anakwabia ameacha kazi tena naye akamshawishi boss wake kuacha kazi...ninachokiona kikubwa ni kwamba ukishaingia na kuwekeza inabidi upambane na ww upate watu wako ili ikulipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwasikiliza na kupata msosi wao wa bure nilitimkaaaaaaa sikuangalia nyuma...jamaa wana ushawishi sana unaweza hisi wewe tu ndio masikini uliebaki dunianiNamna ya kujiunga ni lazima ununue bidhaa tena kwa bidhaa zenyewe hakuna ya chini ya 1m ni kuanzia 3m kwenda juu, mpk upate hao partners ili upate faida na pesa irudi sio leo na kumbuka ulivoshikwa wewe sivyo utakavyowashika wengine broo, [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]tena kwa speed ya hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia inaumiza kweli moyo kabisa hunajihisi kwa nini huelewi wakati kweli ukipinga hesabu zile za kuzaa shufwa shufwa (2,4,8,16,24,.....)lazima ujione maskini hakika,nami kilichoniokoa ni Jf humu kwani sindano zilishaanza kuniingia kabisa,kingine kilichoniokoa ni kutokuwa na hizo pesa za kuanzia kununua bidhaa,wakati mwingine Mungu ana makusudi yake jamani hakika tushukuru kwa kila jamboBaada ya kuwasikiliza na kupata msosi wao wa bure nilitimkaaaaaaa sikuangalia nyuma...jamaa wana ushawishi sana unaweza hisi wewe tu ndio masikini uliebaki duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja na Mimi nitoe ushuhuda hapa. Nitoe historia fupi nilifikajefikaje...Habari wakuu...
Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi.
Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika akaniambia kuna mkutano nimsindikize kumbe ananipeleka kwenye hizi biashara wenyewe wanaitwa "DREAMERS UNITED" nikashangaa naanza kupewa mahuburi pale japo sijawahi fanya hizi biashara kwahiyo wakawa kama wananichanganya...na hawa jamaa wamejariwa vipaji vyakuongea haswaaa maana ukiwa mzembe unaona kabisa utajiri wako upo mikononi mwako.
Tatizo linalolalamikiwa na wengi ni kuwa unapojiunga hakuna mkataba maalumu kiasi kwamba ukizinguana na maboss wanachukua acc yako kirahisi na wewe kubaki ukiwa umepauka na viatu vimechoka kwaajili ya route za kutafuta watu wakuwajoin
Sent using Jamii Forums mobile app