Huyo babu asimuintetain Netanyahu, Oman ni kisiwa cha Amani katika mataifa ya Kiarabu, haina mgogoro na yeyote na haishiriki makundi.
Inapakana na United Arab Emirates, Saudi Arabia na Yemeni, na inatenganishwa na Bahari na Iran. haishiriki kwenye proxy war ya Yemeni na wala haikutia neno wakati mataifa mengine yanaishutumu na kuiwekea vikwazo Qatar, na imekuwa kimya muda wote ambao Saudi Arabia, Iran,Iraq,Uturuki,USA, na Urusi zimeshiriki kuibomoa bomoa Syria.
Ukiwa maeneo fulani Omani unaiona Iran vizuri sana, sasa Netanyahu asimpelekee Sultan mambo ya yake ya ugomvi.