ckia mkuu kama unatumia window 8 ni lazima update iyo net flamework, la cvyo tumia window 7 ndio unaweza tumia hiyo uliyo download ama utumie window sevan nn loyal. ata mm nilikua natatizo kama hilo nme update leo. yangu ilikua inakataa kuinstall modem. mzigo umekubal baada ya ku update.
Shukrani mkuu,ila dot net v3.5 ninayo tayari,issue ni kwamba windows inataka idownload additional files wakati wa installation almost 200MB.
sasa je,kwenye hiyo link yako hizo .NET ni offline installation au?
Sasa hii imefanya kazi vizuri!Nime update link! Dowload offline installation. .NET Framework 3.5 Standalone Installer for Windows 8.1 x86/x64
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
ili ku up date,
Nenda Panel control, Nenda katika Unistall a program lakini usibonyeze unstall bonyeza Programs,
Nenda ( Turn windows features on or off) bonyeza hpo zen itakuambia wait! italeta sasa hizo framework.
zitatokea nyingi ila framework zitakua mbili na ni za kwanza. bonyeza iyo ya kwanza hapo kwenye plus, kitatongezeka kitu kimeandikwa windows comunication Foundation Non- Http activation. Zitiki zote mbili alafu bonyeza Ok. Usubili Mpaka itakapo kamilika. Pia uwe na Net
Sasa hii imefanya kazi vizuri!
Shukrani mkuu!!
kama unatumia windows 8 uwa ipo kwenye installation iso/cd ila pia inakuwa disabled wewe unaweza enable kwa kuiactivate kwenye enable/disable features
soma zaidi hapa
Wakuu nimekwama hapo kwenye installation ya hii kitu.Nilitaka ku-install hotspot clients kama mHotspot au Virtual Router Installer ili niweze kushare my PC's internet kwenda kwenye simu yangu but wanataka niwe nimeinstall .NET FRAMEWORK V3.5,nimeidownload tatizo inataka idownload additional files(about 200MB,ikumbukwe hii ni window ndo inazidownload sio Downloader km IDM etc) naona kama itachukua mwaka kuzidownload mayb tatizo coz speed ya hizi dial-up connection za ovyo.
Anaejua alternative anisaidie pls namna ya kuinstall hiyo kitu kwa njia mbadala au anipe pc net sharing software isiyohitaji hyo .NET thing.
Natumia Win8.1 64 Bits.
Shukrani!