Neno samahani (Sorry) ni muhimu?


kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
901
Likes
25
Points
45

kokudo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
901 25 45
Naamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!
 

Ngo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Messages
284
Likes
3
Points
0

Ngo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2010
284 3 0
Naamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!

Ni wangapi umewakosea hawasemi samahani? Umetoa general conclusion kwa wanaume ni ngumu siyo kweli labda huyo wako tu. Nitasema samahani pale napoona inahitajika!
 

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
mmhhh mi navyo elewa wanaume wapenda sana ku apologies ...
wanapenda sana kuomba msamaha kutufurahisha tu..
sometime, they dont mean it... but they still say "SORRY"
 

Forum statistics

Threads 1,204,913
Members 457,584
Posts 28,175,498