Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Tutatolea taarifa kwenye kamati kuuMkuu Elia F Michael , humu JF tulionyeshwa Fomu za vituo vitatu zikifanana serial number zake hali inayoleta ukakasi. Je, hauna mpango wa kupinga matokeo ya Ubunge Buyungu katika Mahakama Kuu ya Tanzania?
Mkuu, hivi kweli unaitumia jf kama reliable source?
Ndio maana Albert Eisteins alisema, itafika wakati technology itakapozidi (social media), jamii itakuwa imejaa wapumbavu kutokana na hiyo technology.Reliable source zote kwa sasa zina hofu ya cheo cha mkulu. Na kutokana na kukua kwa technology, social media imekuwa ni sehemu nzuri ya kuwafikia watu kwa haraka.
Ndio maana Albert Eisteins alisema, itafika wakati technology itakapozidi (social media), jamii itakuwa imejaa wapumbavu kutokana na hiyo technology.
HAKUKOSEA.
Jf sio reliable source, amka! Acha uendawazimu. Ndio point hiyo.Wapumbavu wako hapa duniani miaka na miaka hata kabla ya hiyo technology (social media). Hizo semi mnazibeba na kuzitapika kama zilivyo bila kuangalia kilichopelekea kusema hivyo. Ila malimbukeni wakipata semi ya mzungu ndio wanatusumbua nazo malofa humu jukwaani.
Jf sio reliable source, amka! Acha uendawazimu. Ndio point hiyo.
Mkuu vpi ile gari yako mpya uliyonunua ikaharibika siku iyo iyo imepona?I hate wizi wa kura
Account yako umempa mtu aitumie au wameihaki?ccm ile ilikufa na muasisi wake
Politics is dynamicAccount yako umempa mtu aitumie au wameihaki?