Neno la shukrani - Elia F Michael

Elia, straight mind, straight heart happy are you Boy.....May God bless you abundantly and always....
 
Wananchi tuungane na kuanza harakati za ukombozi kama za Africa kusini dhidi ya makaburu,msumbiji dhidi ya wareno na mifano kama hiyo.
Tanzania ikiongozwa na CCM ndio waliowasaidia Africa ya kusini na Msumbiji katika harakati za kujikomba, sas nyinyi mtasaidiwa na nani? Na CCM na Tanzania mpya?
 
Mbunge nje ya Bunge?? Looh. I wish i could be IGP.
 
Mkuu Elia F Michael , humu JF tulionyeshwa Fomu za vituo vitatu zikifanana serial number zake hali inayoleta ukakasi. Je, hauna mpango wa kupinga matokeo ya Ubunge Buyungu katika Mahakama Kuu ya Tanzania?
Na laani kabisa uchaguzi wowote ule uwe unaotokana na hawa WAPUMBAVU wanaohama upinzani au ule utakaotokana na mahakama kutenguwa ushindi wa hawa wanaharamu.Huku kwenye jamii kuna shida luluki,HAWAONI?.MTETEZI WA WANYONGE, anayefuja hela za MASIKINI.
 
Na laani kabisa uchaguzi wowote ule uwe unaotokana na hawa WAPUMBAVU wanaohama upinzani au ule utakaotokana na mahakama kutenguwa ushindi wa hawa wanaharamu.Huku kwenye jamii kuna shida luluki,HAWAONI.MTETEZI WA WANYONGE, anayefuja hela za MASIKINI.
Laana za nini wakati uchaguzi umetokana matakwa ya Mwenyezi Mungu
 
What amaze me is that, in Tanzania opposition never lose elections...they always narrate that votes has been stolen...siasa buana
 
Tunasubiri uunge mkono juhudi za Rais Magufuli.
Bado njaa haijauma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…