The bridge was completed in 2003 and was constructed over 42 railway lines without disturbing railway traffic. It is 284 metres long and now forms an important part of the Johannesburg skyline
Jburg na SA kwa ujumla ni nusu ya London kabisa!inabidi wapambane kunyanyua hali za wazawa walio wengi kuweka uwiano na pia kusaidia kupunguza uhalifu maana utaongezeka tu kama hawana mikakati thabiti kwa wazawa wale hawana matumaini kabisa!