Hakika hadi leo huwa siamini kama wanasahihisha maswali yote kwani walinibandikia tu matokeo ya O level ingawa nillifaulu vizuri haikutakiwa kuwa hivyo!Chemistry niliongoza kanda ya ziwa magharibi mtihani wa taifa kidato cha pili,nikaongoza mock kanda nikiwa na A na hadi naingia mtihani wa NECTA nilikuwa fit na niufanya mtihani nikiwa nime relax sana!Ajabu naambiwa eti matokeo nina C!hata kama ningepewa nusu saa kuufanya nisingeishia hiyo C yaani 41-60!kwangu ilikuwa kama failure!Ila basi tu maisha yalisonga
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

mtihani ni siri nzito ya wizara ya elimu
naombeni mniangalizie saumu abdalah "kisaba sec school lushoto tanga
Japo kwa chini chini lakini wote twajua kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo mioyo na roho zao zipo juu pindi wasikiapo neno 'matokeo'hata kama ni ya mpira, roho huruka.Binafsi nilishapitia hatua hii miaka zaidi ya mitano iliyopita, swala linalonitatiza ni kweli matokeo ya NECTA huwa kweli ndo kilichopandwa ?
Tunawajua watu wengi mitaani kwa mashuleni ,waliokuwa na bidii za dhati katika elimu walioangukia pua , je hawakuwa na juhudi ? Swala la ufaulu kwa ujumla huwa linawaacha hata walimu na vitendawili visivyotegulika vya hata flan ! Na flani !? Nini kiliwakuta ? Tunashukuru Mungu tuliopita huko ,lakini wengi hatukupenda 'mavuno' haba tuliyopata, ila tukasonga mbele.
Ninachojaribu kusema kwa wadogo zangu ni kutoweka matarajio makubwa sana usije ukaghafilika na matokeo..na ushukuru Mungu kwa kile utakachokipata.
Niwatakie Matokeo mema
Mbona kuna mitihani hakufanya mkuu?
mitihan gani mkuu na matokeo yake kwa ujumla yapo je? division ngapi? naomba mnijuze. Saumu abdalah, kisaba sec lushoto tanga.
.
Kaka mfano mimi
.
Kiswahili cha 2009 kile nilikuwa sio wa kupata B mm
.
Yaani walahi nakuambia mm kiswahili nilikuwa sikipendi yaani sikipendi kama nn kaka
.
Nilidatishwa na upande wa pili science
lakini mim na uhakika ile sio maksi ya faa kwangu...
Kuna jamaa yangu alikuwa anakipiga kiswahili sio kawaida pale Ilboru lakin akapata C
.
Mm sikuelewa elewa na wengi tulishangaa tumefaulu vipi mtihani ule mana ulibana ni balaaa
.
Regard
.
CodeR GodiveR
Ulikidharau ndio maana ulifanya vibaya
Mbona kuna mitihani hakufanya mkuu?
mitihan gani mkuu na matokeo yake kwa ujumla yapo je? division ngapi? naomba mnijuze. Saumu abdalah, kisaba sec lushoto tanga.
acha uteruuuuu matokeo badoo,, jiangalie unaonekanaa mzembeeeeeeee