NEC ya CCM kukutana kwa dharura

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,882
Reaction score
3,168
Kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kinatarajiwa kufanyika baada ya makatibu wa chama kuanza kukutana Kikaangoni, Zanzibar, ikiwa ni siku 28 tangu kikao cha awali cha NEC kilichofanyika mjini Unguja.

Kikao hicho kilichoitishwa kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Dk Emmanuel Nchimbi Agosti 25, 2026 kinakuja katika kipindi ambacho CCM imekuwa ikifanya mabadiliko katika uongozi na sekretarieti yake.

Kikao cha mwisho cha NEC kilifanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa chama, huku kikao hiki cha dharura kikitarajiwa kujadili masuala muhimu ya ndani ya chama.

Kwa mujibu wa habari ya Mwananchi, NEC ilitarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, huku makatibu wa CCM wakikutana Kikaangoni, Zanzibar
 
Wanahangaishwa,Mara huku mara kule,kumbe,kuna mtu yuko Msola anaendesha Serikali kwa remote!
Akimtanguliza,bibi wa Diploma mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…