Hivi ni kitu gani kisicho na madhara leo? Hata dawa ya malaria unayokunywa ina side-effect!!! Ishi maisha kwa imani brother! Tunaishi katika ulimwengu ambao at least 50% ya kila tunachotumia kimepitia industrial processing either chote au kwa kiwango fulani! Katika hali kama hii utakwepaje hizo risks?