Ndugulile: Huduma ya vivuko ibinafsishwe

Mwanakwetuuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2022
Posts
1,011
Reaction score
2,288
Mbunge wa kigamboni ndugu ndugulile ameamka asubuhi na kuona nchi inapotea mithili ya ngedere wa lumumba
 
Ndungulile anaongea haya kila siku
 
Bakhresa kaamua kupitia mlango wa nyuma round hii...kwa kua wote ni wa visiwani round hii anaeza pewa huo mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…