Ndugu yangu!! Kwanini unataka kuniua bure??

Staff mwenzio anaponunua gari unachukia sababu ameprove kwamba mimi zezeta...kwamba tunapewa mshahara moja lkn mwenzangu kanunua gari mm ht baiskel sina...lzm nichukie niache nichukie ni haki yangu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi yule demu aliyekuwa nae jeshini mkaja kutana tena chuoni uliyetusimulia kwenye uzi uliopita akaja kukutenda!
Vipi haijawahi kukutafuta tena?
 
Staff mwenzio anaponunua gari unachukia sababu ameprove kwamba mimi zezeta...kwamba tunapewa mshahara moja lkn mwenzangu kanunua gari mm ht baiskel sina...lzm nichukie niache nichukie ni haki yangu..
Preferences zinatofautiana, kwani lazima staff mwenzako akiwa na gari na wewe uwe nalo, huna targets zako binafsi?

Usiishi kwa kuangalia yule anaishije!!
 
Staff mwenzio anaponunua gari unachukia sababu ameprove kwamba mimi zezeta...kwamba tunapewa mshahara moja lkn mwenzangu kanunua gari mm ht baiskel sina...lzm nichukie niache nichukie ni haki yangu..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…