Ndugai aelezea kwanini alimwita Mdee 'kituko'

yaani yule mzee aliniacha nimeduwaa kuliko maelezo, pwehhh wote pale mbele wanafanya mambo bila kufikiria kabisa, cjaona mwenye afadhali hata 1....na kauli zao za cku hizi za unatafuta umaarufu, unataka nikutoe nje upate umaarufu...pweeeh m2 kama Halima,Lissu watake umaarufu wa nn tena wakati wameshakuwa maarufu kitambo? au hao wa pale mbele wa msimu huu ndio wamewajua wakina Lissu kipindi hiki?.....wonders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…