Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,586
[emoji30] [emoji18] [emoji6] kuchekeana mwisho saa 12 jioni,ikizidi hapo ni kuchoshana tuu[emoji57] usk ni muda wa kupumzika[emoji85]*KWA WANANDOATU *KITANDANI SI MAHALA PA KUNUNIANA JAMANI.*
*KITANDANI NI MAHALA PAKUSAWAZISHA MAUGOMVI YENU.*
: *KUNUNA WEKA PEMBENI. SIO KITANDANI*
*KITANDANI NI MAHALA PA:*
*KULA [emoji117]ULIWE*
*NIPE [emoji117]NIKUPE*
*MUME JISOGEZE KWA MWENZIE MKE HAL KADHALKA JIWEKE ZERO DISTANCE KWA MUMEO.*
*WACHENI KUPEANA MIGONGO UKU MWATAKA UTAMU.*
*YANINI KUJINYIMA RAHA WENYEWE*
*WACHENI MAMBO AYO.*
*YA MCHANA YASHAPITA.*
*KITANDANI UTAMU KWANZA.*
*KUNUNIANA KITANDANI HAKUJENGI, BALI KUBOMOA TU.*
*ZINGATIENI ILO.*
*NIISHIE APA: MDA UMETUTUPA MKONO.*
*AHSANTENI:*
[emoji23] [emoji38] [emoji38] pole mkuumi jana nimenuniwa mpaka basi, kalala kiambazani hukoooo!
Haya wee[emoji30] [emoji18] [emoji6] kuchekeana mwisho saa 12 jioni,ikizidi hapo ni kuchoshana tuu[emoji57] usk ni muda wa kupumzika[emoji85]
asante leo nimetoka alfajiri niko pwani naogelea kupunguza usongo wa jana[emoji23] [emoji38] [emoji38] pole mkuu
Ni kweli ila saa nyingine kitandani sio mahali pa kumalizia ugomvi kwa kweli mana unaweza kuta una hasira hata hamu kulala kitandani inaisha aisee
Hahahaa! Kwenye chumba cha watotoHmmmm! Sijui huwa wanahamia kwenye mkeka!?
Polemi jana nimenuniwa mpaka basi, kalala kiambazani hukoooo!
Ooh OkeyWashauri wengi wa ndoa hawapo kwenye ndoa
Wewe ulistahili kununiwa aisee! Sio kwa kumkatili mwenzako hivyo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niling'ang'aniwa na mwenzangu ambaye alitoka mikoani kuja kunitembelea hapa dar,siku moja nikamtania nikamwambia nakupeleka zanzibar my darling,akafurahi sana nikampeleka kigamboni tukachukua hoteli usiku huo nilipewa mahaba na nusu,alipokuja gundua nilinuniwa mwezi.
Mkuu twafadhali,nimetumia jina "Dabby" na siyo wewe ambae ID yako ni "Daby"![emoji32][emoji32][emoji32]........hizi ni ID mbili tofauti kabisa!![emoji53][emoji53][emoji53]Dabby ni member mpya eeh.
Kama unamaanisha Daby mimi.
Huwa nakimbilia?? Mlikaa na nani mkashauriana Daby huwa anakimbilia? Kwa hiyo Daby ni mtoto anakimbilia kimbilia vitu? Kwa hiyo usipomwona Daby kwenye uzi fulani unalalamika?
Wewe Tongoza wanawake kwa gear zako usipitie Daby kujenga nao mazoea. Gear yako sio master sawa!
Lakini "prank" ni sehemu ya mahaba,hatimae nilimpeleka znz tuka enjoy 2 days, siku hizi kila tukikumbushsana anacheka saana.Wewe ulistahili kununiwa aisee! Sio kwa kumkatili mwenzako hivyo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]