kwenye hiyo miaka mitano ya probation tunaruhusiwa kunjunjana!??
Sio lazima uanzishe dini maana kuna dini zinaruhusu talaka na kama ukiwa na wanne hawawezi kukuboa wote kwa wakati mmoja. Af unajua maana ya kanisa???
WEwe unaweza kukaa nyumba moja na mwanamke bila kunjunjana?
hapo sawa mkuu.. ila miaka mitano utakua ushachosha engine ya watu, fanya ata mmoja tu!!!Ndo vitu kama hivyo lazima ujaribu kwa miaka 5 mkuu
Kumbe na dar kuna ushirikina, mi nilijua singida tu
Hamna, npo nje ya nchi...npo ZanzibarKumbe Upo singida
Hamna, npo nje ya nchi...npo Zanzibar
Kumbe na dar kuna ushirikina, mi nilijua singida tu
Hamna, npo nje ya nchi...npo Zanzibar
Tehtehteh, nje ya nchi.....you made my mchana lol!
Nipo nje dia, ntakuletea karafuu nikirudi
WEwe unaweza kukaa nyumba moja na mwanamke bila kunjunjana?
Zanzibar sio nchi- PindaHamna, npo nje ya nchi...npo Zanzibar
Hahaahaaa....makanisa yetu waweke kipengele cha probation kwamba ndoa iwe katika matazamio kwa miaka angalau mitano, then ndio mnarudi kanisani kipewa vyeti kamili.