bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Wanawake Watanzania hamfaidi sana kwani?by the way hiyo avator ni wewe mwenyewe?......kwamba kwenye ndoa za marekani wanawake wanafaidi sana? Ndivyo nilivyotafsiri michoro\katuni.
Kufaidi nini?... kitu gani?.........kwamba kwenye ndoa za marekani wanawake wanafaidi sana? Ndivyo nilivyotafsiri michoro\katuni.
Wapo kina Mdee, Bulaya, niliwaona jana uwanjani waki cheerhivi hakuna wabunge wa upinzani mashabiki wa yanga na simba?
ile mechi ya wanawake haikuwa yanga na simba, ilikuwa wabunge na TBC queensWapo kina Mdee, Bulaya, niliwaona jana uwanjani waki cheer
sawa na kuomba udhuru kwamba kuna msiba halafu msibani kwenyewe huenditetemeko lile la bukoba yaani mkulu hajaenda eti????
heh huyu babu juma sjui vepe....sawa na kuomba udhuru kwamba kuna msiba halafu msibani kwenyewe huendi
Hata mi nashangaa tu,ndio kafanya nini sasa ....???sawa na kuomba udhuru kwamba kuna msiba halafu msibani kwenyewe huendi